Exodus 25:6-9

6 amafuta ya zeituni kwa ajili ya taa; vikolezi kwa ajili ya mafuta ya upako, pamoja na uvumba wa harufu nzuri; 7 bna vito vya shohamu na vito vingine vya thamani vya kuweka kwenye kisibau na kile kifuko cha kifuani.

8 c“Kisha uwaamuru wanitengenezee mahali patakatifu, nami nitakaa miongoni mwao. 9 dTengeneza hema hili na vyombo vyake vyote sawasawa na kielelezo nitakachokuonyesha.

Sanduku La Agano

(Kutoka 37:1-9)

Copyright information for SwhKC